Rotary Project Philosophy for 2014-15
copied from Rotary Club of the Southwest, thanks to Rushton Hurley
SWAHILI
Tunapoendelea na mwaka mpya wa Rotary, labda tuchukue muda kuwaza yaliyopita - ni yapi yaliyo ya kawaida, ni yapi tunayofurahia? Tunakua tunapojitahidi zaidi ya hapo zamani. Vilabu vya Rotary hutumikia jamii duniani kote - kila cham kikishughulikia mahitaji na matatizo ya kipekee. Wanachama wa Rotary wanenedelea kuboresha wanavyoshughulikia mahitaji na matatizo hayo, hivyo wameonngeza idadi ya miradi ya huduma.
Huduma ya Rotary yenye mafanikio endelevu zaidi huenda ikawa katika moja ya maeneo yafuatayo:
1. Kuzuia migorogor na kuendeleza amani;
2. Kuzuia na kutibu magonjwa;
3. Kuwapa jamii maji safi;
4. Kuwapa huduma wamama wajawazito na watoto wachanga;
5. Kusambaza elimu na ujuzi wa kusoma na kuandika;
6. Kuendeleza uchumi wa jamii.
Unapojitayarisha kuhusika katika miradi ya huduma, zingatia maeneo haya.
ENGLISH
As we move forward with the new Rotary year, it is perhaps time to think past what is the usual and what is comfortable. It is when we stretch ourselves in a different direction that growth takes place. Rotary clubs serve communities around the world, each with unique concerns and needs. Rotarians have continually adapted and improved the way they respond to those needs, taking on a broad range of service projects.
The most successful and sustainable Rotary service tends to fall within one of the following six areas:
1) Peace and conflict prevention/resolution,
2) Disease prevention and treatment,
3) Water and sanitation,
4) Maternal and child health,
5) Basic education and literacy, and
6) Economic and community development.
As you look towards areas of service and projects, keep these in mind.